THE GLORY OF RAMADHAN MTAANI TAREHE 6
Mzigo
uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na wadau wa tsnia ya movie bongo sasa
unaingia mtaani tarehe sita mwezi ujao ni bonge la movie na wala si
yakuikosa maana imejaa mafunzo ya kutosha kuhusu mwezi mtukufu wa
Ramadhan.
Chuchu Hans na Batuli wamefanya makubwa ndani ya mzigo huo wa The Glory of Ramadhan.
Dura wa Planet Bongo akiwa on set naye kafanya makubwa sana wala nisiseme sana mtajionea wenyewe wadau wangu
Kazi ikifanyika.
Vijana wakiwa makini na script kabla ya scene kuanza kushutiwa
Batuli(Neshi).
Mmmmmmmm ni hatari sana futari drafti
On Set
Hii ni moja ya filamu bora ya dini ambayo itatikisa sana sokoni.
On set
Tukiendelea na kazi.......
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire