Diamond's Malindi Tour (Pata Pata Beach Club)
BONGO MOVIE YAFUNIKA SERENGETI FIESTA
Kama kawaida ya Bongo Movie inapokuwa kwenye show mbalimbali ufanya mambo makubwa sana. safari hii Bongo Movie wamepata dili ya kuzunguka kwenye Fiesta mikoa
yote kwa kweli imeleta picha mpya kabisa ya Fiesta show ya kwanza
kabisa ilianzia Moshi, Samahani sana wadau ya blog hii kwa kuwa nilikuwa
kimya kwa muda mrefu sana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu lkn
kuanzia sasa mambo kama kawaida maburudani ya kutosha karibuni tuone
mambo yalivyokuwa...
Bongo Movie tukielekea kuhojiwa machache na waandishi wa habari, mbali na Serengeti Fiesta pia tulifanya kazi ya kutafuta vipaji vipya vya Bongo Movie na watu walijitokeza kwa wingi sana..
Aunt Ezekiel akiwa na The Power katikati na Wema Sepetu kwenye poziii.
The Greatest nikihojiwa machache na Millard Ayo kuhusu fiesta Moshi.
Tukijadili machache.
The Power akihojiwa.
Wema Sepetu.
Aunt Ezekiel akiongea machache.
Tukielekea kwenye viwanja vya Fiesta.
Wema kwenye pozi na mkoko wake.
Tukiwasili kwenye fiesta.
Mambo yakiendelea ndani ya mjini Moshi kwa kweli shoo ilibamba sana Hongera Clouds Fm kwa kuandaa matasha yenye kiwango..
Bata likiendelea.
Fataki zikipigwa juu kama ishara ya show kuzinduliwa rasmi.
Prezoo akiwa kwenye pozi na Wema Sepetu.
Ferooz akiwa na ............
Shetta.
Wachaa weee jinome mama.......
Mwana FA wa kwanza kulia na Prezooo mwanamuziki toka Kenya ambaye aliwakilisha nchi yake kwenye shindano la BBA
Bob Junio a.k.a Mr Chocolate ndani ya Fiesta Moshi.
Vijana wa THT wakiwa kwenye maandalizi.
Steve Nyerere (The Power).
The Greatest nikiwa na vijana wangu.
Aunt na Wema.
Goz B na KingZilla.
Ulifika
wakati wa Bongo Movie kufanya kazi yao bila kukosea.Washabiki
walishangalia sana baada ya kutuona on the stage nikiongoza jahazi la
Bongo Movie.
The Greatest nikiwa na Wema, akionge machache.
Wema akitoa show kali.
Show ikiendelea.
Kama kawaida yangu kufunika nashukuru sana mashabiki wangu kwa kunipa support on the stage.
The Power kamua ndugu yangu.........
Mwenyekiti wa Bongo Movie JB akitoa show kali.
Baba na Watoto wake on the steg.
Shetta.
Linah.
Mwana FA.
Prezoo akiwa kwenye maandalizi..
Makamuzi yakiendelea.
Tulipo wasili Airport me & Romy Jay..... |
Hapa nikiwa kwenye Rehearsal... |
Romy Jay.... |
Time ya ku_Swimming....LOL! |
Romy Jay kama kawa kama dawa...... |
Tukioneshana ujuzi nani zaidi......Lazima ukae Hahaha! |
After Swimming..... |
Nikisalimiana na Mkurugenzi wa Pata Pata Beach Club.... |
Romy,Me & Mr. Fedele..... |
Nikiwa kwenye Interview kabla ya show...... |
Mpango mzima ulikuwa hivi...... |
Mmmh! Sijui kilicho mshangaza mrembo huyu ni nn!!????.... |
Daaaaah! Sina hata la kusema..... |
Nipo na Chief Kiumbe the Boss |
After show.... |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire