vendredi 25 avril 2014

BUJA MOVIE

                                                                       emmy d
                                                       chimenne
                                                                alice
                                                         alice

mardi 19 novembre 2013


Monday, November 18, 2013

DIAMOND AFANYA MAKAMUZI KWENYE HARUSI YA PETER WA P-SQUAR



Diamond Platnumz akifanya makamuzi katika harusi ya kimila ya Peter Okoye. Kushoto ni Emmanuel Adebayor akimpigia makofi.
 
Mwanamuziki kutoka P-Square, Peter Okoye (kushoto) akipozi na mwanasoka wa Tottenham na timu ya Taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor wakati wa harusi ya kimila ya mwanamuziki huyo jana Nigeria.
 
Bwana harusi Peter Okoye akimvisha pete mkewe Lola Omotayo.
 
Harusi ya kimila ikiendelea.
 
Bibi harusi Lola Omotayo.
 
Peter katika pozi na wapambe wake.

lundi 16 septembre 2013

Danson the Great Power: ANGALIA JINSI WASANII WA BUJA MOVIE WALIVYO PENDEZ...

Danson the Great Power: ANGALIA JINSI WASANII WA BUJA MOVIE WALIVYO PENDEZ...:                                   TATIANA AKIWA BEACH KUPUNGA UPEPO.                                        TATIANA MSANII WA BUJA MOVI...

Danson the Great Power: ANGALIA JINSI WASANII WA BUJA MOVIE WALIVYO PENDEZ...

Danson the Great Power: ANGALIA JINSI WASANII WA BUJA MOVIE WALIVYO PENDEZ...:                                   TATIANA AKIWA BEACH KUPUNGA UPEPO.                                        TATIANA MSANII WA BUJA MOVI...

Danson the Great Power: ANGALIA JINSI WASANII WA BUJA MOVIE WALIVYO PENDEZ...

Danson the Great Power: ANGALIA JINSI WASANII WA BUJA MOVIE WALIVYO PENDEZ...:                                   TATIANA AKIWA BEACH KUPUNGA UPEPO.                                        TATIANA MSANII WA BUJA MOVI...

ANGALIA JINSI WASANII WA BUJA MOVIE WALIVYO PENDEZA.

                                  TATIANA AKIWA BEACH KUPUNGA UPEPO.
                                       TATIANA MSANII WA BUJA MOVIE
                                                         IGISABO ART GROUPE
                                          JULIENE UWAMUKUNDA
                                                     MY BEST SISTER TATIANA
                                                                UWAMUKUNDA
                                                              TATIANA
                                                  TATIANA NA MARAFIKI ZAKE
                                                               HONEY LOVE

                                                HONEY LOVE AND OMARI
                                                                        LOVE
                                                            HONEY LOVE AND AISHA

                                                       JULIENNE
                                                      HONEY LOVE AND AISHA
                                         HONEY LOVE AKIWA KWENYE POZI NDANI KWAO
                                                         TATIANA AND AISHA
                                              HONEY LOVE AND AISHA

dimanche 23 septembre 2012

ZOEZI LA KUCHAGUA MODELS WATAKAO SHIRIKI KWENYE VIDEO YANGU BADO LINAENDELEA..... Romy Jay & Dullah....

ZOEZI LA KUCHAGUA MODELS WATAKAO SHIRIKI KWENYE VIDEO YANGU BADO LINAENDELEA.....

Nami pia nilishiriki meza kuu....


Martin Kadinda akiongea na Rakhee,mmoja ya majija
Dear Mama & Dear Dada
Mama Platnum
Romy Jay & Dullah....

mardi 11 septembre 2012

BONGO MOVIE WAKIWA KWENYE SHEREHE NA DIAMOND PLATUNUMZ

Diamond's Malindi Tour (Pata Pata Beach Club)


BONGO MOVIE YAFUNIKA SERENGETI FIESTA

 Kama kawaida ya Bongo Movie inapokuwa kwenye show mbalimbali ufanya mambo makubwa sana. safari hii Bongo Movie wamepata dili ya kuzunguka kwenye Fiesta mikoa yote kwa kweli imeleta picha mpya kabisa ya Fiesta show ya kwanza kabisa ilianzia Moshi, Samahani sana wadau ya blog hii kwa kuwa nilikuwa kimya kwa muda mrefu sana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu lkn kuanzia sasa mambo kama kawaida maburudani ya kutosha karibuni tuone mambo yalivyokuwa...
Bongo Movie tukielekea kuhojiwa machache na waandishi wa habari, mbali na Serengeti Fiesta pia tulifanya kazi ya kutafuta vipaji vipya vya Bongo Movie na watu walijitokeza kwa wingi sana..

Aunt Ezekiel akiwa na The Power katikati na Wema Sepetu kwenye poziii.

The Greatest nikihojiwa machache na Millard Ayo kuhusu fiesta Moshi.

Tukijadili machache.

The Power akihojiwa.

Wema Sepetu.

Aunt Ezekiel akiongea machache.

Tukielekea kwenye viwanja vya Fiesta.
Wema kwenye pozi na mkoko wake.

Tukiwasili kwenye fiesta.

Mambo yakiendelea ndani ya mjini Moshi kwa kweli shoo ilibamba sana Hongera Clouds Fm kwa kuandaa matasha yenye kiwango..
Bata likiendelea.
Fataki zikipigwa juu kama ishara ya show kuzinduliwa rasmi.

Prezoo akiwa kwenye pozi na Wema Sepetu.

Ferooz akiwa na ............

Shetta.

Wachaa weee jinome mama.......

Mwana FA wa kwanza kulia na Prezooo mwanamuziki toka Kenya ambaye aliwakilisha nchi yake kwenye shindano la BBA
Bob Junio a.k.a Mr Chocolate ndani ya Fiesta Moshi.
Vijana wa THT wakiwa kwenye maandalizi.
Steve Nyerere (The Power).
 The Greatest nikiwa na vijana wangu.
Aunt na Wema.
 Goz B na KingZilla.
 Ulifika wakati wa Bongo Movie kufanya kazi yao bila kukosea.Washabiki walishangalia  sana baada ya kutuona on the stage nikiongoza jahazi la Bongo Movie.
 The Greatest nikiwa na Wema, akionge machache.
 Wema akitoa show kali.
 Show ikiendelea.
Kama kawaida yangu kufunika nashukuru sana mashabiki wangu kwa kunipa support on the stage.
The Power kamua ndugu yangu.........
 Mwenyekiti wa Bongo Movie  JB akitoa show kali.
 Baba na Watoto wake on the steg.
 Shetta.
 Linah.
 Mwana FA.
Prezoo akiwa kwenye maandalizi..
Makamuzi yakiendelea.
Tulipo wasili Airport me & Romy Jay.....
Hapa nikiwa kwenye Rehearsal...











Romy Jay....
Time ya ku_Swimming....LOL!


Romy Jay kama kawa kama dawa......

Tukioneshana ujuzi nani zaidi......Lazima ukae Hahaha!

After Swimming.....

Nikisalimiana na Mkurugenzi wa Pata Pata Beach Club....
Romy,Me & Mr. Fedele.....
Nikiwa kwenye Interview kabla ya show......

Mpango mzima ulikuwa hivi......








Mmmh! Sijui kilicho mshangaza mrembo huyu ni nn!!????....







Daaaaah! Sina hata la kusema.....





Nipo na Chief Kiumbe the Boss

After show....