Monday, November 18, 2013
DIAMOND AFANYA MAKAMUZI KWENYE HARUSI YA PETER WA P-SQUAR
Diamond Platnumz akifanya makamuzi katika harusi ya kimila ya Peter Okoye. Kushoto ni Emmanuel Adebayor akimpigia makofi.
Mwanamuziki
kutoka P-Square, Peter Okoye (kushoto) akipozi na mwanasoka wa
Tottenham na timu ya Taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor wakati wa harusi
ya kimila ya mwanamuziki huyo jana Nigeria.
Peter katika pozi na wapambe wake.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire