mardi 14 août 2012

BEHIND THE SCENE GLORY OF RAMADHANI

THE GLORY OF RAMADHAN MTAANI TAREHE 6


Mzigo uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na wadau wa tsnia ya movie bongo sasa unaingia mtaani tarehe sita mwezi ujao ni bonge la movie na wala si yakuikosa maana imejaa mafunzo ya kutosha kuhusu mwezi mtukufu wa Ramadhan.

 Chuchu Hans na Batuli wamefanya makubwa ndani ya mzigo huo wa The Glory of Ramadhan.


Dura wa Planet Bongo akiwa on set naye kafanya makubwa sana wala nisiseme sana mtajionea wenyewe wadau wangu

 

 Kazi ikifanyika.

Vijana wakiwa makini na script kabla ya scene kuanza kushutiwa

Batuli(Neshi).

Mmmmmmmm ni hatari sana futari drafti

On Set

 Hii ni moja ya filamu bora ya dini ambayo itatikisa sana sokoni.

 On set

Tukiendelea na kazi.......

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire