Steven charles kanumba na dada irene uwoya
Dada irene uwoya ndiye alleye nipa mwelekeo wa kuigiza namkubali sana. Vilevile sitomsahau kamwe. Pamoja na marehemu Steven charles kanumba nikiona picha hii nasikia uchungu sana kwa sababu yeye ndie aliye nionyesha njia ya kuwa muigizaji kwa sababu bila yeye nisingekuwa hapa nilipo namshukuru sana. Nilikuwa nafikiriya kama atanipa nguvu zingine ndio hivyo kanitoka nabaki mpweke sina pa kuegamia lkakini najua nitampata mwingine kama yeye atanisaidia. Sitovunjika nguvu nitaendeleza sanaa yangu mpaka pale nitakuja kuwa star wa Buja movie.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire