dimanche 6 mai 2012
SKENDO MBOVU
Tatizo la waandishi wetu,hawa thibitishi kwanza kabla ya ku andika habari zao,si jui wana taka mlo ku pitia majina ya watu?Daaah ili ni uma sana kipindi nilipata hizi habari.Nakumbuka ili kua ijumaa tareh 20/april/2012 majira ya saa mbili asubuhi,baada ya ku wasili swahiba buba the hot,tulipokua tuki pata break fast maeneo ya mjini kati,ghafla The hot katupatia gazeti hili nakusoma skendo za waandishi.Daaaaaahhhh ili niuma sana kwa kweli kuona waandishi wa habari kuni zagazia skendo mbovu sikutaka kuzionyesha isia zangu hapohapo....habari hizi zilipitishwa hadi kwenye ma television baba na mama wali ni kasirikia sana muda wa siku kadhaa....jamani mashabiki wangu musi nihisi hivyo i an't like that sisi ni ma GOOD BOYS.
Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire